Monday, July 13, 2020

Mdee Amtumia Sheikh Ponda Ujumbe Mzito

Firebrand Tanzanian MP Halima Mdee Arrested for Criticising Raila ...Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Kawe (CHADEMA) Halima Mdee ametuma ujumbe wa pole kwa katibu wa jumuiya za kiislam nchini Sheikh Issa Ponda baada ya kukamatwa na jeshi la polisi kutokana na kusambaza walaka wa uchochezi.

Mdee ametuka ujumbe huo leo kupitia kwenye ukurasa wake wa Twitter na kudai kuwa Sheikh Ponda atabaki kwenye vitabu vya histori ya nchi kutokana na ujasili wake na kujitoa kwake.

“Sheikh PONDA UTABAKI kwenye HISTORIA ya NCHI hii kwa kuwa miongoni wa VIONGOZI WA DINI wachache SANA mliojitoa KUSIMAMIA HAKI na KWELI! Asante SANA SHUJAA wangu!! “ ameandika Halima Mdee.

Jeshi la polisi nchini lilithibitisha kumkamata Sheikh Ponda mmamo Julai 11,2020 baada ya kusambaa walaka wa uchochezi kuelekea kwenye uchaguzi mkuu.

 



source http://www.bongoleo.com/2020/07/13/mdee-amtumia-sheikh-ponda-ujumbe-mzito/

No comments:

Post a Comment