Wednesday, July 15, 2020

Makonda achukua fomu kugombea Ubunge

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amechukua fomu ya kuomba ridhaa kugombea jimbo la Kigamboni.

Makonda amechukua fomu hiyo leo akiomba kuwania jimbo hilo kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM).

Jimbo hilo ambalo lilikuwa linashikiliwa na aliyekuwa mbunge wa CCM, Dk. Faustine Ndugulile.

Dk. Ndugulile na yeye amechukua fomu kutetea jimbo hilo.



source http://www.bongoleo.com/2020/07/15/makonda-achukua-fomu-kugombea-ubunge/

No comments:

Post a Comment