Thursday, July 16, 2020

Lema Awalipua Wagombea CCM “Ongezekeni Mjaze Basi Mbili”

Godbless Lema 'atumiwa salamu' na Humphrey Polepole | UDAKU ...Aliyekuwa Mbunge wa Arusha mjni (CHADEMA) Godbless Lema amewataka watu wanaotia nia ya kugombea ubuge wa jimbo hilo kupita chama cha mapinduzi (CCM) kujitahidi kuongezeka mapka kufikia 140 ili waweze kushinda kwenye jimbo hilo.

Lema ametoa neno hilo kupitia ujumbe alituma kwenye ukurasa wake wa twiiter sa chache baaa baada ya rais John Magufuli kutaja idadi ya wagombea wa CCM ndani ya mkoa huo wenye majimbo kadhaa.

“Arusha wagombea ccm mmefika 70 ? Mnajaza basi mnaenda wapi? Kuna mtu ana wadanganya eti mkishindwa mtatangazwa tu?Muulizeni kama anaijua kesho?akiwajibu ongezeni basi jingine,wiki ijayo baada ya kura za maoni Udiwani tutafanya kikao cha kuunda uongozi wa halmashauri ya Jiji” ameandika Lema.

Ikumbukwe Lema amefanikiwa kushinda kura za ndani za chama chake kupeperusha bendera ya chama chake kwenye uchaguzi ujao wa wabunge kwenye jimbo hilo aliloingoza kwa mihula miwili.   

 



source http://www.bongoleo.com/2020/07/16/lema-awalipua-wagombea-ccm-ongezekeni-mjaze-basi-mbili/

No comments:

Post a Comment