Wednesday, July 15, 2020

Kubenia: Hata kama sijachukua fomu Chadema hainizui kugombea Ubungo kwa chama kingine

Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Ubungo (Chadema), Saed Kubenea, amesema hajachukua fomu ya kuomba kuwania ubunge jimbo la ubunge kupitia Chadema.

Amesema kitendo cha yeye kutokuchukua fomu haimzuii kugombea ubunge katika jimbo hilo kupitia chama kingine.

Leo Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Profesa Kitila Mkumbo, amejitokeza kuchukua fomu ya kugombea jimbo la Ubungo.



source http://www.bongoleo.com/2020/07/15/kubenia-hata-kama-sijachukua-fomu-chadema-hainizui-kugombea-ubungo-kwa-chama-kingine/

No comments:

Post a Comment