Wednesday, July 15, 2020

Kombe La Dunia 2022 Kupingwa Disemba

FIFA World Cup 2022™ - News - Early miles of African marathon to ...Shirikisho la soka Duniani (FIFA) limeweka wazi kuwa michuano ya kombe la Dunia 2022 inayotarajiwa kichezwa nchini Qatar inatechezwa kati ya mwezi Novemba na Disemba.

Katika taarifa iliyotolewa na shirikisho hilo leo mechi ya ufunguzi itapigwa kwenye uwanja wa Al Bayt wenye uwezo wa kubeba mashabiki takribani 60,000.

Sababu za michuano hiyo kupigwa kwenye kipindi hicho cha baridi ni kutokana na kuwepo kwa joto kali kwenye kipindi cha kawaida cha michuano hiyo yaani Mwezi Juni na Julai kwenye ukanda wa nchi za uarabuni.

Mechi ya fainali ya michuano hiyo ya kihistoria itachezwa Disemba 18,2020 kwenye uwanja wa Lusail unaoweza kubeba watu takribani 80,000.

 



source http://www.bongoleo.com/2020/07/15/kombe-la-dunia-2022-kupingwa-disemba/

No comments:

Post a Comment