Wawili ha wanatarajia kifungua mimba. Picha: Hisani
Marina Balmasheva alitengana na mumewe baada ya kudumu katika ndoa kwa miaka 10
Alianza kuwa na uhusiano na kijana wa mumewe huyo kabla kuoana naye rasmi Julai 2020
Wawili ha wanatarajia kifungua mimba
Mwanamke mmoja raia wa Urusi amewaacha wengi vnywa wazi baada ya kueleza kuhusu jinsi alivyoanza uhusiano na mwanawe wa kambo na hatimaye kuoana naye rasmi.
Marina Balmasheva mwenye umri wa miaka 35 alifunga pingu za maisha na Vladimir, mwanawe wa kambo mwenye umri wa miaka 20.
Kulingana na kisa alichochapisha katika mtandao wa Instagram, Marina alipata kujuana na kijana huyo alipokuwa ameolewa na babake kijana huyo.
Wakati huo, kijana huyo alikuwa na umri wa miaka saba, wawili hao waliishi pamoja kwa miaka kumi kabla kukosana na kupeana talaka.
Uhusiano ulianza kuimarika kati ya mama huyo na kijana wake wa kambo wakawa wapenzi baadaye.
Baada ya kutengana na mumewe, aliandamana na mwanawe huyo wa kambo hadi kwa afisi ya mwanasheria mkuu na kurasmisha ndoa yao, suala ambalo liliwaacha wengi kwa mshangao.
‘’ Tuliendesha hadi kwa afisi; hata sikuwa na kigwaru. Pete ilikuwa kwenye gari. Kulikuwa na kufaraha kidogo kisha mahangaiko,’’ Mama huyo alieleza.
Aidha wawili hao waliandaa sherehe kando ya maamkuli ambayo ilihudhuriwa na jamaa marafiki wa karibu.
La kushagaza zaidi ni kuwa baadaye, mumewe wa awali ambaye pia alikuwa babake bwana harusi mpya akashikwa na wivu baada ya wawili hao kuona.
Sasa wawili hao wanapanga kuhama mji wanaoishi ili kuepuka hasira ya baba mumewe wa awali.
source http://www.bongoleo.com/2020/07/15/kisa-cha-kijana-wa-miaka-20-aliyefanya-harusi-na-mama-wa-kambo/
No comments:
Post a Comment