Tuesday, July 21, 2020

Jaji Kaijage: Uchaguzi Mkuu kufanyika Oktoba 28 na kampeni zitaanza Agosti 26, 2020

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza rasmi ratibu ya Uchagunzi Mkuu ambao utafanyika Oktoba 28 mwaka huu.

Kadhalika, kampeni za uchaguzi zitaanza Agosti 26 na kumalizika Oktoba 27, 2020.

Hayo yamesemwa leo na Mwenyekiti wa NEC, Jaji Semistocles Kaijage, amesema ratiba ya Uchaguzi uteuzi kiti cha Rais, Makamu wa Rais, ubunge na madiwani utafanyika Agosti 25.



source http://www.bongoleo.com/2020/07/21/uchaguzi-mkuu-kufanyika-oktoba-28-kampeni-kuanza-agosti-26-2020/

No comments:

Post a Comment