Wednesday, July 15, 2020

Heche: UVCCM wamebaki ni jukwaa la mabaunsa na kutoa vitisho

Aliyekuwa  Mbunge wa Tarime Vijijini (Chadema), John Heche, amesema Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) limebaki ni jukwaa la mabaunsa, watoa vitisho na hawajui kujenga hoja wala kujibu hoja.

Heche aliandika ujumbe huo katika ukurasa wake wa twitter “Ndio maana vijana wanaotoka Chadema wanapata vyeo wanaacha wanapiga miayo na midomo,”.

“Jitathimini nyie wenyewe. Kila nikiangalia vijana wa UVCCM naona wanahamasisha fujo, vitisho na ujinga,” aliadika Heche.



source http://www.bongoleo.com/2020/07/15/heche-uvccm-wamebaki-ni-jukwaa-la-mabaunsa-na-kutoa-vitisho/

No comments:

Post a Comment