Tuesday, July 14, 2020

Gwajima atinga kuchukua fomu ya kuwania Ubunge

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Joseph Gwajima amechukua fomu ya kuomba kugombea jimbo la Kawe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).

Gwajima ametinga Ofisi za CCM Wilaya ya Kinondoni na kuchukua fomu.

Jimbo hilo la Kawe lilikuwa linashikiliwa na aliyekuwa mbunge Halima Mdee (Chadema).

Halima Mdee ametangaza nia ya kugombea katika jimbo hilo.



source http://www.bongoleo.com/2020/07/14/gwajima-atinga-kuchukua-fomu-ya-kuwania-ubunge/

No comments:

Post a Comment