Tuesday, July 14, 2020

Fatma Karume: Paramagamba alikwenda Madagascar kuchukua dawa mbona wabunge wao wanakufa kwa Corona?

Wakili wa kujitegemea, Fatma Karume amesema Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi, alikwenda Madagascar baada ya Rais wako kusema ana sawa ya Covid-19.

Fatma Karume amehoji mbona wabunge wao kwa ugonjwa wa Corona “Ama kweli njia ya muongo ni fupi,”

Fatma aliandika ujumbe huu katika ukurasa wake wa Twitter baada ya kuwepo kwa taarifa ya kufariki wabunge wawili.

“Palamagamba so alikwebda kuchukua dawa Madagascar baada ya Covud-19? Mbona wabubge wao wanafariki huko kwa Corona? Ama kweli njia ya muongo ni fupi,” aliandika Fatma Karume.



source http://www.bongoleo.com/2020/07/14/fatma-karume-paramagamba-alikwenda-madagascar-kuchukua-dawa-mbona-wabunge-wao-wanakufa-kwa-corona/

No comments:

Post a Comment