Tuesday, July 14, 2020

Diwani wa Chadema Sinza na wenzake watimkia ACT-Wazalendo

Aliyekuwa diwani wa Sinza kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Renatus Pamba na wanachama wengine wametangaza kukihama chama hicho.

Pamba pamoja na wenzake wameeleza kuhamia Chama cha ACT-Wazalendo leo jijini Dar es Salaam.

Sababu ya kukihama chama hicho no kuwepo kwa mgogoro wa uongozi ndani ya Wilaya ya ubungo uliosababisha kufanyika uchaguzi mwingine



source http://www.bongoleo.com/2020/07/14/diwani-wa-chadema-sinza-na-wenzake-watimkia-act-wazalendo/

No comments:

Post a Comment