Friday, July 17, 2020

Ajali ya basi la Kyela Express limepinduka

Basi  la Kyela Express Lililokuwa likitoka Dar es Salaam kwenda Wilayani Kyela limepinduka katika njia panda ya Lutengano kijiji cha Ushirika Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya.

Ajali hiyo anadaiwa kutokea usiku wa kuamkia leo na kujeruhi baadhi ya watu.

Habari kuhusiana na tukio hilo tutakujulisha baada ya kumpata Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya.



source http://www.bongoleo.com/2020/07/17/ajali-ya-basi-la-kyela-express-limepinduka/

No comments:

Post a Comment