Monday, July 20, 2020

Waziri Mwakyembe chali kura za maoni

Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe, amekuwa mshindi watatu katika uchaguzi wa kura za maoni katika jimbo la Kyela lililopo mkoani Mbeya.

Mwakyembe ambaye alitia nia ya kutetea jimbo la Kyela ambalo amekuwa akiliongoza alipata kura 252 katika matokeo ya uchaguzi uliofanyika jana.

Katika matokeo hayo mshindi wa kwanza alitangazwa ni Ally Mlagila Jumbe ambaye alipata kura 502 na mshindi wa pili ni Hanta Albert Mwakifuna aliyepata kura 288.



source http://www.bongoleo.com/2020/07/21/waziri-mwakyembe-chali-kura-za-maoni/

No comments:

Post a Comment