Thursday, July 23, 2020

Siri 10 Muhimu Ambazo Hufai kutoa Baada ya Kuingia Katika Ndoa

Vastu Tips: Use Salt to reduce husband-wife quarrels at home ...

Ndoa ni kiungo muhimu zaidi yenye raha na starehe kubwa wahusika wanapochunga mipaka na kutunzana vilivyo

Kwa upande mwingine, huweza kuwa chanzo na masikitiko makubwa maishani iwapo hutatumia hekima kwa mambo yanayohusiana nayo

Je wajua kuwa ulimi ndio huunda na kubomoa ndoa?

Haya ni baadhi mambo ambayo kamwe hufai kutumia, na siri za kutotoa ili ndoa yako idumu.

1.Usiwahi kumwambia rafiki ama mtu yeyote kuhusu jinsi mumeo ama mkeo alivyo hodari kitandani. Yasalie kuwa kati yenyu tu.

  1. Usimwambie mtu kumtongoza mkeo ama mumeo kama njia ya kudhibitishaa kama ana uaminifu.
  2. Usimwambie yeyote kuhusu makosa ya zamani ya mwenzio.
  3. Usiwahi kuwaambia majirani au familia kuhusu uwezo wa mumeo kifedha.
  4. Usimwambie mtu kuhusu jinsi mumeo au mkeo ni mdhaifu kitandani, watakuaibisha kwa kumcheka.
  5. Usiwaaambie watoto kuwa baba au mama yao ni mtu mbaya.
  6. Usiwe na mazoea ya kutangaza kwa urahisi shida, au tofauti zenyu. Watatumia nafasi hiyo kuwatenganisha kabisa.
  7. Usimwambie hata mchungaji wenye kuhusu jinsi mvavyokwaruzana nyumbani, wengine watatumia hiyo katika kuandaa mahubiri.
  8. Isiwahi kumwambie mama mkwe kuhusu kiwango cha pesa ambacho mumeo hukupa, atakuwa na kinyongo bure.

Wedding Night Sex: Readers Share Stories About Their First Time As ...

Usiwaambie rafiki zako kuhusu jinsi mkeo au mumeo alivyo na tabia mbaya. Fanya kila nia kuibadilisha tabia hiyo.

Hakuna ndoa hata moja duniani ambayo haina panda shuka, inahitaji wawili kulainisha tofauti zao na kufurahia maisha kama wanandoa.

Je, wajua kuwa ndoa tu ndiyo shule ambapo unapewaa cheti cha kufuzi kabla kuanza masomo na mtihani. Kila mmoja awe tayari kuchunga na kutunza uhusiano wake kikamilifu.



source http://www.bongoleo.com/2020/07/23/siri-10-muhimu-ambazo-hufai-kutoa-baada-ya-kuingia-katika-ndoa/

No comments:

Post a Comment