Thursday, July 9, 2020

Mume Wangu ni Bwege Kitandani- Mwanamke Aliyefumaniwa Akilala na Mchungaji Afunguka

My husband's poor performance in bed pushed me to pastor's arms - Kakamega woman

Jane alidai kuwa mumewe hangeweza kumtosheleza kimapenzi. Picha: Hisani

Mwanamke aliyefumaniwa akila uroda mchungaji wa kanisa lake amemlaumu mumewe kwa kitendo hicho

Jane anadai kuwa mumewe mwenye umri wa miaka 59 hatoshelezi mahitaji yake ya mahaba na ndiyo maana akaamua kumhusisha pasta Olutatwa

Omanga, mumewe mwanamke huyo sasa anataka kumtaliki mkewe na kuuza shamba alikomjengea

Mwanamke wa Kakamega aliyefumaniwa na mumewe akijihusisha katika tendo la ndoa na mchungaji nyumbani kwake sasa amewaacha wengi vinywa wazi kwa kumlaumu mumewe.

Jane Omange mwenye umri wa miaka 55 ameeleza kuwa alilazimika kuchukua hatua ya kulambishana asali na pasta maana mumewe hangeweza kumridhishia mahitaji ya kimwili.

Jane alidai kuwa mumewe hangeweza kumtosheleza si  kimwili tu bali pia kiela na ndipo akapata sababu ya kupata msaada wa mchungaji huyo.

My husband's poor performance in bed pushed me to pastor's arms - Kakamega woman

‘’ Mchungaji alinitongoza majuzi. Alisema ananitaka kimapenzi na kihisia. Kwa maana alionyesha kuwa yuko tayari kunipa msaada wa kifedha na kimapenzi, niliamua kumkubalia anifyonze,’’ alisema.

Aidha, mama huyo alieleza kuwa hiyo ndiyo iliyokuwa siku ya kwanza kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mchungaji huyo.

Kulingana na Omanga mumewe mama huyu,yuko tayari kumpa mkewe talaka an kuliuza shamba alikomjengea boma.

‘’Nimemwemleza wazi mke wangu kuwa  namtaliki, kisha kuuza shamba hilo na kueda kwingine,’’ alisema.

Kufutia kisa hicho, mama huyo wa watoto watatu alilazimika kurudi nyumbani kwa wazazi wake Khwisero.

Jane na mchungaji wake walifumaniwa wakilambishana asali Jumanne, Julai 7.



source http://www.bongoleo.com/2020/07/09/mume-wangu-ni-bwege-kitandani-mwanamke-aliyefumaniwa-akilala-na-mchungaji-afunguka/

No comments:

Post a Comment