Monday, July 13, 2020

Magufuli Akutana na Lowassa Ikulu Chamwino

ImageWaziri mkuu mstaafu Edward Lowassa na mke wake Mama Regina Lowassa wamemtembea rais John Magufuli nyumbani kwake ikulu Chamwino jijini Dodoma.

Lowassa na mke wake walipokea mualiko wa kwenda Ikulu kwa ajili ya mazungumzo na Rais Magufuli ikiwa ni siku chache baada ya mkutano mkuu wa chama cha Mapinduzi uliomalizika mjini humo mwishoni mwa wiki.

Ikumbukwe kuwa Rais Magufuli ametangazwa kuwa mgombea wa nafasi ya urais wa Tanzania  kutangazwa kuwa mgombea wa Urais kwenye uchaguzi ujao unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba.

Image

 



source http://www.bongoleo.com/2020/07/13/magufuli-akutana-na-lowassa-ikulu-chamwino/

No comments:

Post a Comment