Thursday, July 9, 2020

Je unaijua staili hatari iliyotajwa na wataalamu wakati wa tendo la ndoa

Wasomaji wetu karibuni katika ukurasa huu wa kupeana raha na kujifunza mambo mbalimbali.
Leo nataka ujue hii staili ambayo imetajwa ni hatari licha ya kwamba baadhi ya wanaume wengi huwa wanaipenda.

Wanasayansi nchini Brazil wamefanya utafiti ili kubaini ni mtindo upi katika ufanyaji tendo la ndoa ulio hatari zaidi kwa mwanaume.

Kwa mujibu wa utafiti huo, mtindo ambao mwanamke anakuwa juu ya mwanaume ndio hatari zaidi na huwa na risk kubwa zaidi ya kusababisha hata kuvunjika kwa uume.

Wanasayansi hao wanasema:

Pindi mwanamke anapokuwa juu, mara zote hucontrol movement na uzito wote wa mwili wake ukitua kwenye uume uliosimama na kushindwa kuzuia pale uume unapokuwa umeingia vibaya kwasababu madhara huwa ni madogo kwa mwanamke bila maumivu lakini ni mabaya kwa mwanaume.
“Pindi mwanaume anapokuwa akicontrol movement, ana nafasi kubwa ya kuzuia kutokana na uume wake kuwa sehemu mbaya na hali inayopelekea kusikia maumivu na hivyo kupunguza hatari,” walieleza wataalamu hao.


source http://www.bongoleo.com/2020/07/09/je-unaijua-staili-hatari-iliyotajwa-na-wataalamu-wakati-wa-tendo-la-ndoa/

No comments:

Post a Comment