
Mikel Arteta alichukua uongozi wa Arsenal Disemba 2019 akimridhi Unai Emery baada ya kuachiliwa kazi
Arsenal inashikilia nafasi ya 10 katika ligi huku matokea yake ikizidi kusambaratika
Jose Mourinho amemnyeshea sifa Mikel Arteta hata baada ya kuonyeshwa adabu ya mabao 2-1 na klabu ya Tottenham Jumapili, Julai 12.
Licha ya Arsenal kutamba katika mechi hiyo kwa dakika 90, Spurs bado ilipata tabasamu kwa kuokota pointi zote tatu.
What colour is North London?#THFC
#COYS pic.twitter.com/mLIiqqIEBf
— Tottenham Hotspur (@SpursOfficial) July 12, 2020
Arsenal ilijipa bao la kwaza kunako dakika ya 16 kupitia kwa Alexander Lacazette, bao ambalo lilisawasishwa muda mfupi baadaye na Son Heung-Min.
Toby Alderweireld aliipa Tottenham bao la ushindi baada ya kuandaliwa pasi safi ya kona na Heung-Min.
Matokeo ya mechi hiyo iliipigisha hatua Tottenhum hadi nafasi ya tisa kwenye ligi huku Arsenal ikisalia kwa pigo.
On a more positive note, I feel really confident Mikel Arteta is going to make it at Arsenal and is the right man to take this club forward. You don't change a failure culture that has been built up over a number of years overnight. It's not a matter of how, its a matter of when. pic.twitter.com/1sY7pXTjsc
— LTArsenal
(@ltarsenal) July 12, 2020
‘’Nadhani mechi hiyo ilikuwa ya akili sana, naamini Mikel alipata njia ya kuwawezesha kucheza na kujiimarisha. Wanaimarika,’’ Jose aliandika.
Ni wazi kuwa Arteta angali ana kibarua kigumu katika kuirudisha klabu ya Arsenal alikoiacha Jose baada ya kuiridhi kwa Umai Emery.
Mikel Arteta alichukua uongozi wa klabu ya Arsenal 2019 akimridhi Unai Emery.
source http://www.bongoleo.com/2020/07/13/ujumbe-wa-mourinho-kwa-arteta-baada-kulazwa-na-tottenhum/
(@ltarsenal)
No comments:
Post a Comment