Sunday, July 12, 2020

Lema: Nimesoma waraka wa Sheikh Ponda hatakiwi kuwekwa mahabusu

Aliyekuwa mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema,  amesema amesoma kwa makini waraka wa Sheikh Issa Ponda hapaswi kuwekwa maabusu.

“Hapaswi kuwekwa mahabusu isipokuwa ufafanuzi wa mambo yaliyo andikwa, ameongea vitu vingi muhimu na dhahiri haswa kwa wakati huu,” aliandika Lema katika ukurasa wake wa twitter.

“Haki haiwezi fungwa pingu, mwachieni huru Sheikh Ponda Issa,” aliandika Lema.



source http://www.bongoleo.com/2020/07/12/lema-nimesoma-waraka-wa-sheikh-ponda-hatakiwi-kuwekwa-mahabusu/

No comments:

Post a Comment