Wednesday, August 5, 2020

Lissu ataja vipaumbe vyake akiwa Rais asema ataanza na mchakato wa katiba mpya

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, ametaja vipaumbele vyake endapo atachaguliwa kuwa Rais.

Alisema kipaumbe chake akiwa Rais wa nchi jambo la kwanza atakalolifanya ni kuhakikisha anaanza mchakato wa kupata katiba mpya.

Kiongozi huyo ambaye ni mgombea urais kupitia Chama cha Chadema amesema pia atahakikisha masheikhe wa uamsho walioko magereza kwa zaidi ya miaka saba kwa makosa ya kubambikwa wanaachiwa huru.



source http://www.bongoleo.com/2020/08/05/lissu-ataja-vipaumbe-vyake-akiwa-rais-asema-ataanza-na-mchakato-wa-katiba-mpya/

No comments:

Post a Comment