Wednesday, August 5, 2020

Lissu Arusha Jiwe Gizani “Kuna watu wanajidai ni viongozi wa Zanzibar wametengenezwa Dodoma”

ImageMgombe urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amesema chama chake kushirikiana na ACT Wazalendo kuhakikisha wanamuweka madarakani mtu ambaye atakuwa kiongozi wa Zanzibar atakaye kubalika na wanazanzibar.

Akizungumza kwenye mkutano mkuu wa chama cha ACT Wazalendo unaendelea kwenye ukumbi wa mikutano wa Diamond jubile jijini Dar es salaam na kuda kuwa kuna viongozi wenngine amabao wameandalia na kuweka madarakani kwa nguvu ya mitutu ya nje ya Zanzibar.

“Tutashirikiana na ACT kuhakikisha Zanzibar inakuwa na viongozi wa Zanzibar, kuna watu wanajidai ni viongozi wa Zanzibar wametengenezwa Dodoma hao sio viongozi wa Zanzibar hao wameweka madarakani na wale wa Dodoma  wanabaki madarakini kwa nguvu ya mtutu ya huku, tutashirikiana na ACT kwa mara ya kwanza Zanzibar inakuwa serikali ambayo wazanzibar watasema hii ni serikali yetu” amesema Lissu

 



source http://www.bongoleo.com/2020/08/05/lissu-arusha-jiwe-gizani-kuna-watu-wanajidai-ni-viongozi-wa-zanzibar-wametengenezwa-dodoma/

No comments:

Post a Comment