Wednesday, August 5, 2020

Nyota wa Man United Athibitisha Kuigura Klabu, Uhondo Kamili

Manchester United have the chance to give Angel Gomes what he ...

Angel Gomes. Picha: Hisani

Angel Gomes Anafunga virago vyake kuondoka Man United baada ya miaka 14

Mchezaji huyo ameamua kuchukua hatua hiyo baada ya kufeli kufuzu kuwa katika timu ya kwanza

Hatimaye Angel Gomes amefunguka kwa mashabiki wake kuhusu kuihama klabu ya Man United

Mchezaji huyo ambaye amekuwa Man United kwa miaka 14 amechukua hatua hiyo baada ya kukua na kutia makali ujuzi wake bila kufikia nafasi ya kuchezea klabu hiyo kwenye timu ya kwanza.

Gomes ameamua kuigura klabu hiyo baada ya kukamilisha mkataba wa miaka mitano na kukataa mkataba mwingine licha ya kutakiwa kusalia katika klabu hiyo.

Mchezaji huyo alifunguka kuhusu hatua hiyo huku akiwapongeza pakubwa mashabiki, usimamizi na wachezaji wenza kwa ujumbe mrefu mtandaoni.

‘’ Imenichukua muda maana haikuwa rahisi kuandika hisia zangu. Japo kwa huzuni, wakati umefika kupiga kituo ukurasa mzuri wa maisha yangu kwa miaka 14. Kutoka Salford, Manchester ndiyo yote ambayo nimejua,’’mchezaji huyo aliandika.

‘’Imefika wakati wa kupiga hatua nyingine katika maisha,  naamini nyote mtafurahia ninachoazimia.  Naitakia klabu na wahusika wote heri, nitawapesa. Pia nataka kuwashukuru mashabiki, ukwasi wenyu haujaenda bila kutambukika,’’ Gomes aliongezea.

View this post on Instagram

It’s took me a while because it’s not been easy to put my emotions into words. Sadly the time has come to end a beautiful chapter that has been my life for 14 years. Being from Salford, Manchester United is all I have ever known. I went from playing on my estate, pretending to be Wayne Rooney to being in the academy And doing the same. May 21st 2017 I made my premier league debut for the club of my dreams aged 16 replacing the legend himself ‘Wayne Rooney’. I want to thank every single individual at the club for the help and encouragement I received, from the very first time I signed at the club. I want to thank all the coaches from every age group that looked after me from 6 to now. To all the kit men, Kath the receptionist, The media team, the security, the staff at the cliff, the staff at Littleton road, the staff at Carrington to the cleaners, you all played a part in getting me to where I am today. It is time I take the next step in my career, I hope you can all be proud off what I go on to achieve. I wish the club and everyone involved the best of luck, you will all be missed more than you can imagine. I also want to thank the fans, your SUPPORT hasn’t gone unnoticed. Once a RED always a RED 🔴🔴🔴 UTID Angel Gomes

A post shared by Angel Gomes (@angel.gomes10) on

Kuondoka kwa Gomes kunajiri wakati ambako wengi waliamini kuwa Ole Gunnar angefanya kila awezalo kuhakikisha kuwa mchezaji huyo anasalia klabuni.



source http://www.bongoleo.com/2020/08/05/nyota-wa-man-united-athibitisha-kuigura-klabu-uhondo-kamili/

No comments:

Post a Comment