Wednesday, August 5, 2020

Fatma Karume Avipopoa Vyombo Vya Dola

High Court suspends lawyer Fatma Karume from practising in ...Mwanaharakati na mwanasheria Fatma Karume amevionya vyombo vya dola juu ya kutimiza majukumu waliyopewa na wanachi ya kulinda haki zao za msingi za kikakatiba na kuwakumbusha kuwa wananchiu waliwapa kazi hizo wakiamua wanaweza kulinda haki hizo wenyewe.

Akizungumza wakati wa mkutano mkuu wa chama cha ACT-Wazalendo Fatma karume amesema historia inanyiosha kuwa wananchi wanaweza kulind azaida haki zao hizo wakiamua na sio kwamba hawataki kufanya hivyo.

“msidhani kama wananchi wanashinda kulinda demokrasia yao ila wamevipa dhamana vyombo vya dola hiyo haki yao na histori inanyosha kuwa wananchi wanauwezo wa kulinda haki yao pindi vyombo walipovipa dhamana vikishindwa kulinda haki yao” amesema Karume.



source http://www.bongoleo.com/2020/08/05/fatma-karume-avipopoa-vyombo-vya-dola/

No comments:

Post a Comment