Listen......
Hakuna mke mzuri kushinda huyo mke wako ambaye umemuoa, mnaishi pamoja na amekuzalia watoto.
Wachana na hizi chokoraa zinaitwa slayqueens. Never make your wife cry because of these town cartoons. Tunza mke wako vizuri, onyesha yeye mapenzi, lea watoto wako, somesha watoto wako na kesho utajivunia kama mzazi. Wachana na hizi nyang'au zimetoboa mapua kama nguruwe zinataka kukuharibia ndoa.
Slay queens...
Nywele bandia
Matako bandia
Rangi ya ngozi bandia
Midomo bandia
Macho bandia
Makucha kama ya mamba
Halafu wewe mwanamume na akili zako timamu unaacha mke wako original unaendea hizi nyang'au bandia. TUNZA MKE WAKO.
source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/01/wanaume-mnisikize-vizuri_29.html
No comments:
Post a Comment