Monday, January 27, 2020

UTAJUAJE KUWA UKE WAKO UMELEGEA AU KUONGOZEKA UKUBWA?


Wanawake wengi hawajui ukubwa wa uke wao kwa kuwa hawawezi kujipima au kuona umuhimu wa kufanya hivyo. Uke unapokuwa katika hali yake ya kawaida kuta zake zinalaliana na kwa wengi kipenyo cha uke hakizidi inch 1 na nusu na urefu wake kati ya inch 3 hadi 4, hata hivyo ukubwa wake hubadilika mwanamke anapokuwa tayari kwa tendo la ndoa. Unaweza kuwa inch 1 au moja na nusu ni ndogo kwa mwanaume kupitisha uume wake, ukweli ni kwamba uke una uwezo wa kutanuka ili uweze kumeza uume. Ukiingia ndani ya uke ukubwa huongezeka zaidi hadi kufikia inch 3.
Kwa wanawake waliozaa hawana budi kukabiliana na ongezeko la ukubwa wa uke wao,kadri watoto wanavyozidi kuongezeka ndivyo ukubwa wa uke uongezekavyo ,hali hii hutokana na uharibifu wa misuli iliomo katika kuta za uke.
Kama uke wako umepanuka zaidi na umekuwepo ulegevu mkubwa matokeo yafuatayo yatakukabili;
1.Hutofurahia tendo la ndoa
2.Mpenzi au mumeo atapata shida kuridhika nawe kutokana na hali ya kupwayapwaya.
3.Unaweza kupata tatizo la hewa kuingia ndani ya uke na kusababisha hali inayofanana na kujamba,jambo linalowakuta wanawake wengi.
Baada ya kujifungua yanakuwepo mabadiliko ya vichocheo muhimu,kichocheo cha Estrogen na Progesterone hupungua na hili husababisha upungufu wa majimaji ya kupunguza msuguano wakati wa kufanya mapenzi.

UTAJUAJE KUWA UKE WAKO UMELEGEA AU KUONGOZEKA UKUBWA?

Wanawake wengi wanagundua kuwa uke wao umebadilika pale mpenzi au mume anapoanza kulalamika au kupoteza hamu ya kufanya mapenzi. Wengine wanashindwa kujua kwanini wapenzi wao au waume zao wamepoteza msisimko wa kufanya mapenzi kama zamani,hapa ndipo unapoonekana umuhimu wa wapenzi kushirikishana mambo mbalimbali katika mahusiano yao bila woga.
Zifuatazo ni ishara za kujua kama huko chini kumelegea au kuwa kukubwa
1.Kama ukiingiza kidole chako ukeni inakuwa vigumu kukibana kwa uke wako
2.Unapokuwa bado hujapata hamu ya kufanya mapenzi,uke wako (tundu ambalo uume huuingia) linakuwa wazi yaani hupati pingamizi lolote ukiingiza kidole.
3.Unaweza kuingiza vidole vitatu au zaidi ndani ya uke wako bila kipingamizi kikubwa.
4.Unapata shida kubwa kufika kileleni.
Watu wengine huamini kuwa mwanamke mwenye uke mkubwa na mlegevu ametembea na wanaume wengi sana, jambo hilo sio kweli kwani hakuna uume unaoweza kufanya hivyo ila mwanamke aliyezoea uume mkubwa anaweza kupata shida kufurahia tendo la ndoa akipata mwanaume mwenye uume mdogo.


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/01/utajuaje-kuwa-uke-wako-umelegea-au_27.html

No comments:

Post a Comment