Daima bado sijaoa na daima namwomba Mungu anipe hitaji la moyo wangu Ila Nina Jambo moja tu nataka kusema kwenu wanawake
Nikimwona mwanamke yeyote nakuwa Kama namwona mama yangu wanawake wanasihi ogopen kuolewa na mwanaume unakuwa mama wa nyumban maana hujui kesho ya mmeo ikoje
Hakika moyo wangu una mengi juu yenu Ila daima baraka tele kwenu mama zangu maana bila nyie sisi tungekuwa hatupo wanaume tuwaheshimu mama zetu na wake zetu daima wanapitia changamoto nyingi mpaka kutuzaa hakika ndio wanajua mengi Sana juu yetu
Na ndio maana huwa nasema hakuna mama wa bandia lakin baba wa bandia ndio wengi Sana
source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/01/jambo-moja-tu-nataka-kusema-kwenu.html
No comments:
Post a Comment