.
****WAKUBWZ TU***
.
1: CHUNGUZA USAFI/USALAMA WA KINYWA: Kuwa na uhakika na kinywa chako kuwa hakinuki, kisafi, hakina shombo.

Pia ongeza na haya:
- Epuka deep kiss kama umetoka kula karanga, dagaa/samaki, vyakula vyenye shombo au harufu kali.
- Epuka deep kiss kama fizi, ulimi, meno, (kinywa) kinatoa harufu, shombo, mabaki ya vyakula(kama maharage, nyama).
- Hakikisha huna michubuko kwenye lips, pia lips zako zisiwe kavu.

- Chunguza na cha mwenzako pia kama hakina michubuko, hakitoi harufu??? Kisafi???(Kwa kumtazama, na kumsogelea taratibu huku unamuongelesha maneno ya mahaba)
.
2: BANA PUMZI: Wakati wa kukiss zuia pumzi zako zisitokee mdomoni, tolea puani, na iwe taratibu wala usiheme kama unapuliza moto.
.
3: FUMBA MACHO: Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali, denda huwa ni bora endapo wote mtakuwa mmefumba macho. Kutofumba macho husababisha:
- Kugongana kwa meno, kutokuwa makini na kinachoendelea na kufatilia ya pembeni, jambo ambalo linaweza pelekea usitoe ushirikiano kwa mwenzio, pia hupunguza hisia ya tendo lenyewe.
.
4: CHEZA NA ANGLE: Best french kiss hutokana na mabadiliko ya angle za kiss, mfano kwenye lips juu, kulia, kushoto, chini, na kwenye ulimi(kati). Kuwa makini, mwenzako akiwa kushoto wewe kuwa kulia, msiwe angle moja. Usihame sana, na usichelewe sana, kuwe na mawasiliano ya hisia zenu.
.
5: USITOE ULIMI KAMA NYOKA NA MENO KAMA NGIRI: Katika kitu unachotakiwa kuzuia ni utoaji wa meno, maana huweza sababisha kugongana kwa meno, kung'atana, jambo ambalo huaribu radha ya tendo lenyewe na kuwa kero. Pia ulimi toa kwa ncha chache ili kuepuka kung'atana, kukerana..
.
6: KUWA ROMANTIC: Usiwe kama robot. Denda huitaji na viungo vya mwili vijongee mfano, shingo, mikono, kiuno, kifua, lakini kabla ya hivyo inabidi utazame na mazingira yenyewe, kama mpo chumbani basi hiyo ni fursa, mkono mmoja unatomasa kiuno, mwingine kifuani, au yote shingoni/mabegani.
.
7: DHIBITI SPEED: Jambo zuri wakati wa french kiss ni kufanana kwa speed zenu, sio mmoja haraka, mwingine taratibu. Inashauriwa kufanya deep kiss kwa taratibu ili muweze kujenga hisia za mwili kwa urahisi zaidi.πΆπΎ♂πΆπΎ♂πΆπΎ♂πΆπΎ♂

source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/01/kanuni-7-za-kupiga-french-kissdenda.html
No comments:
Post a Comment