Tuesday, January 28, 2020

SIO KAMA HATUJIWEZI,SHIIDA NI WAMAMA WENYEWE.

Image result for mahusiano ya uchumba
(imeandikwa na mme wangu anawatetea wa baba)
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Kama Kasi ya mumeo NI ile show ya nguvu kitandani,shikamoo mwanamke wewe,,jipigie makofi tafadhali.
Kama penzi lake NI lile lile Kama mnaanza upya,Moto Moto jipigie makofi tafadhali.
Kwa Nini,kwa sababu wewe NI dareva mzuri.
Kwanye maisha ya Ndoa mwanamke NI Kama dereva,akiendesha gari vibaya inaingia kwenye mtalu,nyumba pamoja inajengwa na wawili ila mke ndio top ujenga au kuibomoa.

SHIDA NI DAFTARI SIO KALAMU.
DAFTARI NI mke KALAMU NI mume.
Daftari Kama limelowa mafuta kalamu inaandikaje,jiulize wewe mama.
Kama mwanzoni iliandika Tena kiasi cha kuchoka kusoma leo inaandikaje mstari mmoja inagoma kuandika,inalala,?
Kalamu ile ile Wala haina shida na inapopata daftari mpya inacharaza muandiko was Kila haina,wa mlalo,wa kusimama wa Kila aina,kwako Kuna tatizo gani,? TATIZO NI.
Tatizo kauli zenu chafu.
Tatizo lawama zenu.
Tatizo usafi wa nje na ndani.
Tatizo ubunifu.
Yoote yanatumaliza wanaume.
Tukiachana na matatizo ya kiafya na Hali ya maisha,misongo ya mawazo,mengine yanawahusu wenyewe.
Mnalilia ndoa mkiipata basi,ujui wajibu wa chochote kwa mumeo,sex ya kuombwa, hata ukitoa hujitumi,upo tu ,je anapataje nguvu.
Kauli chafu,malalamiko yasiyo na ulazima,NI kulalamika tu bill hata sababu,tunakwazika mpaka mood inapotea kwenu.

USHAURI.
Kama unaipenda ndoa yako ishi maisha ya ndoa,usiishi maisha ya mazoea,vinginevyo mmmh sijui,
Mmefundwa msiache kutekeleza mliyofundishwa.


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/01/sio-kama-hatujiwezishiida-ni-wamama.html

No comments:

Post a Comment