Wednesday, January 29, 2020

MWANAMKE AKIKUJIBU HIVI ACHANA NAE HARAKA SANA.


Wanawake wa uswahilini wa siku hizi wamekuwa na swagger ya aina moja wanapotongozwa.
Utasikia "MIMI NAWAOGOPA WANAUME" ,ukiuliza wewe ni Bikra kwani?
Atajibu hapana , ukiuliza kwanini unawaogopa wanaume wakati we sio Bikra atakujibu NISHATENDWA SANA"
Ndugu yangu nakushauri ,kama ukijibiwa hivyo ondoka fasta ujue hapo hakuna mwanamke kabisa kwa sababu haiwezekani mtu atendwe yeye tu na kila Mwanaume.
Ujue huyo ana mapungufu ambayo hata wewe utashindwa kuvumilia mapungufu ambayo hata wewe hutamtenda tu na mwisho wa siku utamuongezea idadi ya wanaume waliomtenda.
Ila mara nyingi wanawake wanaojibu hivyo au wanaotendwa hivyo Unakuta hawajatulia kabisa (yaani ni vicheche) 


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/01/mwanamke-akikujibu-hivi-achana-nae.html

No comments:

Post a Comment