nimejifunza jambo kubwa sana kwenye maisha yangu aisee ndugu zangu mke wamadhabaun anagarama kubwa sana usione mtu amefunga harusi yakiroho akianza kukueleza mambo aliyo pitia uwiiiii unaweza ukazira kuoa au kuolewa maana mambo yanakuwaga magumu sana π.
Mimi wakati nipo kwenye taaratibu zakuoa nilipitia mambo magumu mpaka nilienda kukaa katikati ya barabara hili nigongwe na gari waseme bwana harusi amekufa kumbe sikujua Mungu anatenda pale akili zetu zimefika mwishoπuchumba wangu uligomewa mara tatu kutagazwa lakini binti huyu akukata tamaa baadhi ya watumishi walisema tuvunje uchumba mbona unamigogoro mingi sana mimi nikamuuliza binti unajisikiaje moyon mwako binti alinijibu wewe ndiwe mme wangu nitakuvumilia mpaka pale Mungu atakapo ruhusu hili jambo ila sikuachi kwakweli alikuwa ananitia moyo sana namimi niligoma kabisa kutenda dhambi au kulichafua kanisa la Mungu kwa dhambi ya uasherati .
Mungu akawa mwema kwetu tulipata neema yakutangaza uchumba aiseee mziki ukaja kwenye mipango ya harusi mambo yalianza kuwa magumu balaa yakiuchumi kila ninacho kifanya kigumu kiukweli nilikata tamaa wasimamizi wa harusi yangu zaidi ya wanne walipata majanga mazito mazito mpaka nikachanganikiwa inafika siku ya tukio sijui msimamizi wangu nani aiseee kichwa kiliwaka moto π.
Msimamizi wa kwanza alipata namatatzo akashindwa kusimamia.
msimamizi wa pili ni doctor lakini siku ya mwisho shetan aliinuka juu yake mpaka naye alipatwa namajanga uko kazini kwake akashindwa kusimamia π.
Msimamizi watatu alivamiwa navibaka walimpinga na nondo kisogon mpaka kupoteza fahamu badae alipata ufahamu hosipitalini lakin hari yake ikawa mbaya sana acha akashindwa kusimamia.
Nikapata mwingine harusi ya tarehe16 akavamiwa namajambazi siku ya tarehe 15 nusu kifo kwakweli nilikuwa kwenye wakati mgumu sana mimi nilimwachia Mungu yote itakavyo kuwa kwa jinsi nilivyo kuwa nimechanganikiwa mpaka dakika ya mwisho sijui hata nikioa sijui nitaenda kuishi wapi na huyu mtoto wawatu yaniii sina chumba kwakweli nilikuwa kwenye wakati mgumu sana.
Ilipo fika siku ya tukio nikashagaa nipo saloon msimamizi ameletwa aisee kwakwel sikuwa namaswali mengi zaidi yakumshukuru Mungu mda wakuingia kanisan umefika kwa macho yangu sikuamini siku ya mwisho Mungu alininuliaa watu mpaka nikabaki nalia mwenyeweπkila kitu kilikwenda sawa ambavyo sikutegemea mimi harusi ilijaa uwepo wa Mungu kila mtu akisema lake hatimaye leo nipo na mke wangu tunaishi maisha yenye aman na furaha yote nimesahau wengi walio kuwa wananikosea makusudi waliniomba msamaha.
Nataka kusema kitu hapa π siku zote mpango wa Mungu unatimia lakini ukikaa kwenye uwepo wa Mungu ukiona magumu kwenye mahusiano yako ucje kutenda dhambi ukadhan ndo solution hili muoane kwa njia ya mkato lazima badae mtapitishwa tu kwenye ndoa yenu tatzo alikimbiwi tatzo linakabiriwa kwa msaada wa Mungu.
Mahusiano yenye mpango mzuri wa Mungu yanaitaji maombi,ombea mshega wako,ombea wasimamizi wako wa harusi,ombea kamati nzima,ombea zawadi namipango yote inayo endelea,ombea maisha yenu ya hapo badae maana wengi wameoana ila walipo fika hanmon gafla furaha ikatoweka wanajutia kuoana maana shetan apendi kuona mnafuraha.
Ubarikiwe na Bwana Yesu nikipata neema siku ingine nitasema kilicho tokea kwenye harusi yetu ila mimi na mpenzi wangu tunaendelea vizuri kabsa kwa neema ya Mungu.
Ila mabinti acheni dharau ndo mtaolewa huu mwaka nyie jifanyeni matawi ya juu wakati mnashinda yakuolewa πmtazekea kwenu anaye panga maisha ni Mungu sio mwanadamu.
source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/01/kijana-unaye-taka-kuoa-zingatia-haya.html
No comments:
Post a Comment