Monday, January 27, 2020

Wadada mpooo? Unyumba una mambo mengi wadada.kungwi ngoja nikufunde,

Image may contain: 4 people, people standing and outdoor
Unyumba una mambo mengi wadada.
Unyumba wataka afya
Unyumba wataka akili itulie.
Unyumba wataka usafi
Unyumba wataka ushirikiano.
🍊🍌
Mtazame mume anaporudi kazini
Mjulie hali
Muulize anausikiaje mwili.
Ili ujue ana uchovu wa kazi au anaumwa.
Waume wengine maumivu madogo madogo hasemi.
Ila ukimuuliza anaweka wazi.
Mshauri unachokifahamu kuhusu maumivu yake.
Ikiwa hujui mtake yeye maoni yake.
πŸ“πŸŒ
Mume anapoingia kitandani kulala mchunguze
Akili yake imetulia?
Ikiwa ana jambo limesibu akili yake jitahidi saana kumuweka sawa
Usingimbilie kumtega na kutaka ndizi yako.
Sema nae kwa wema kuhusu shida yake mpe moyo.
Muhamasishe ikiwa ni jambo la faida.
Mzuie kwa maelezo ya kutosha ikiwa halifai.
Mfariji ikiwa ni maudhi ya watu au kazini.
Akili yake ikitulia utaiona πŸŒyapata miguu.
πŸ‘πŸŒ
Mume anapenda saana kuridhishwa.
Tunaposema usafi si wa nyumba tu.
Laa
Mume apenda mke msafi wa MOYO.
Mke mwenye kujitambua.
Mke msafi si mke mwenye kwenda hovyo kama umejimiliki.
Kutwa una safari
Mara shoga yangu anaozesha
Mara shoga yangu kafiwa
Mara mama Halima ana mwali
Mara mtaa wa pili kuna msiba
Mara sijaenda nyumbani muda mrefu.
SAWAA safari zako zote pengine za halali.
Lakini ukumbuke mume anampenda mke mvivu kutokatoka.
Amani ya moyo wake inakuwepo akijua upo nyumbani.
Ikiwa hufanyi kazi au biashara ya kukutoa nyumbani basi Toka kwa ridhaa yake na nyendo zipunguze umeolewa wewe.
Na mashoga wapunguze maana shughuli haziishi.
Utawamaliza wote.
Bakiza mmoja au wawili
Tena walioolewa kama wewe.
Usijeporwa keki bado imoto.
🍏🍌
Tena unyumba wataka ushirikiano
Waswahili wanasema *Nyege kunyegezana*
Ushirikiano muhimu sana
Mume akikushika nawe mshike.
Akikubusu nawe mbusu
Muonyeshe unamuhitaji
Muonyeshe unaridhishwa nae
Muonyeshe unamjali
Unampenda(hili usiache kumwambia)
Siku nyingine omba mechi wewe sio kila siku aanze yeye.
Mara nyingine mchuchie mumeo sio kila siku autafute mlango.
Laa
Siku nyingine shika πŸŒna umchuchie honey wako
Fanya nae "romance" kwa uhuru na kujiamini.
Weka maungo yako laini.
Usitumie mibavu
Kua legelege mjanja.
Mume anahamasika zaidi akiona mke kalainika na anaharaka ya kutaka ndizi yake.
🍎🍌
Toa ushirikiano kwa mumeo
Sio unapewa vitu muhimu kisha umetulia tuu.
Vipii kama unatatizo huhisi raha jichunguzee,kulikoni. πŸ’πŸ’„πŸ’πŸ’„πŸ’πŸ’„πŸ’πŸ’„πŸ’πŸ’„


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/01/wadada-mpooo-unyumba-una-mambo-mengi.html

No comments:

Post a Comment