Shule hii inaitwa The Austrian International School of Sex (AISOOS), ipo mjini Viena Austria, ilianzishwa mwaka 2011 na mwanamama Ylva Maria Thompson maalumu kwa kufundisha mapenzi kwa nadharia na vitendo, mtu yeyote mwenye umri wa kuanzia miaka 16 anaruhusiwa kujiunga na shule hii.
Shule hii ilianza kutoa kozi mbalimbali kwa nadharia na vitendo mwaka 2011 kama historia ya ngono, ngono ya kisasa, jinsi ya kufanya ngono NK. Mhula mmoja una kozi tano kamili pamoja na kozi maalumu tatu, gharama ya kusoma kwa mhula mmoja ni € 1,400 sawa na Tshs. 3,556,000/=.
Mbali na elimu ya mapenzi kwa nadhari na vitendo, lakini pia shule hii inafundisha ni jinsi gani uwe mpenzi mzuri, muwe wapenzi wazuri, wanafunzi wa jinsia zote wanaishi katika mabweni ambako huko hutumia muda mwingi pia kufanya home work zao za ngono wanazopewa darasani.
Taarifa ya Mtandao wa Daily Mail ya December 1, 2011 ilisema kuwa msemaji wa shule hiyo Melodi Kirsch alisema kuwa wanafundisha pia namna ya kutumia mikono na mbinu za mapenzi, na wahitimu hupata vyeti kutokana na ufaulu wao wa nadharia na vitendo. "tunao uhakika kwamba shule yetu itapata mafanikio makubwa sana".
Mara tuu baada ya kufunguliwa mwaka huo 2011, shule hii ilianza kuzua mijadala mingi katika mitandao huku wengi wakisema kuwa shule hii haina msaada wowote zaidi zaidi imeanzishwa tuu kukuza biashara ya ngono.πΆπΎ♂πΆπΎ♂πΆπΎ♂africa sihami..
N.a. Deus Mkombozi Kira...
source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/01/jewajua-ilipo-shule-inayofundisha-ngono.html
No comments:
Post a Comment