Ndoa nyingi za baridi sababu wanaume wamewaacha wake zao kuwa lafu lafu na kufanya kuwa maveterani wa urembo kwa kukosa matunzo yanayostahili.Hali hiyo imefanya wanaume wengi kukosa hamu ya mapenzi, hali inayopelekea wengine kwenda nje kutafuta warembo.Maana husband ndani ya bedi ya 6×6 hajisikii msisimko wowote kwa mke wake,ni kama amelala na brazameni kwa bedi.
1/Onesha kumjali na kumthamini mkeo popote mnakuwa.jenga utamaduni baba wa kutoka outing na mkeo siku moja moja kwenda kula hotel au mgahawa wenye hadhi.Mnapotembea mshikane mikono na kuonesha mahaba mbashara
2/mnunulie nguo zinazomkaa vema mwilini,sio nguo za makapu. Mwanamke viwalo bab wee! Mpige pamba za uhakika apendeze. Bila hivyo unaweza kumwona bibi kizee havutii kumbe sababu ya matambala ya mitumba
3/mnunulie mapambo mazuri ya bei mkeo kama ukufu,hereni,SAA ya mkono,nk. Vitu hivi vinamwongezea urembo mkeo utakao kufanya uzidi kumwona mrembo sana na kuvutiwa naye. Sasa kama wewe ndio uko makanisa fulani yanayokataza mapambo heshimu kanuni hizo,ila aisee karagha bhahoo mjomba! Chonge chonde! usipepese macho kwa wake zetu na kuwatamani bab wee maana wanapendeza aisee uongo dhambi!! Wewe tosheka na huyo huyo wako mpaka kaburini.
4/mzuie mkeo kuvaa nguo za kienyeji(hasa anapotoka kwenda kwa majirani,sokoni,nk). Sio powa kuvaa nguo za dela,gauni kukatia khanga,shimizi na sketi ziliochoka na kuekspaya. Mkeo akiwa lafu lafu hata awe na sura nzuri havutii.
5/Mpe mkeo pesa za saluni asukwe nywele kali. Unafahamu??? Kwa taarifa yako misuko mikali humwongezea mwanamke uzuri/urembo Mara dufu! Kwa msuko alivyopendeza kila SAA utatamani mcheze kidali pooh!

source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/01/jinsi-ya-kumfanya-mkeo-kuwa-mrembo-wa.html
No comments:
Post a Comment