1. Utaalamu wa masuala ya mahusiano waonyesha dhairi kuwa Mwanaume huanzisha mahusiano ya nje anapoona Mke wake hamsifii na anamkosoa kila mara. Wanaume waliohojiwa wanasema: ππ
βNilianza kuhisi Mke wangu ameanza kuniona sivutii tena, alikuwa ananikosoa, mara viatu vinanuka, mara sijachomekea shati,β
Hivyo wanasema wanahitaji kutendewa kama Wafalme, wasifiwe, waambiwe ni βbombaβ kwenye tendo la ndoa.
2. Kumdhani anachepuka wakati hafanyi hivyo. Hilo humfanya Mume achepuke tu hata kama hakupenda.πππ
Tony (siyo jina lake halisi) anasema, βMke wangu alianza kuhisi nachepuka wakati wa fungate, kila mara alinihisi hivyo na wakati sikuwa na mahusiano yoyote,β baadaye nikaamua kuchepuka kweli.
3. Anatafuta rafiki. Wanaume wengi wanapokosa Mke ambaye watacheka, watapiga stories, watataniana, wanapendelea movie za aina moja, wanazungumzia mambo yao, huamua kwenda nje kutafuta Watu wa aina hiyo. πππ
Wapo Wanawake ambao kila Mume anaporudi humpokea na maswali, kumsakama alikuwa wapi, kumuorodheshea mahitaji ya nyumba. Wanaume wanadai wanapenda faraja.
4. Wanataka mzuka. Mtaalamu wa mahusiano Mely Morse, anasema katika siku za kwanza za mahusiano, kila mmoja huwa na hamu na mwenzake, lakini kadri muda unavyokwenda mnazoeana.πππ
Wanaume wana tabia ya kutafuta mzuka wa tendo kwa kitu kipya. Hiyo ni hulka yao.
5. Morse anasema wanaume wengine huchepuka kwa sababu tu ni wadhaifu.
πππ
Wanapokutana na mitego ya Wanawake wazuri, kama baa, kazini au club, wanashindwa kukataa au kuzuia hisia zao.
πππ
Wanapokutana na mitego ya Wanawake wazuri, kama baa, kazini au club, wanashindwa kukataa au kuzuia hisia zao.
6. Penda usipende, Wanaume wengine wanachepuka kwa sababu wanataka ladha tofauti.πππ
Si kwamba hampendi Mke wake, la hasha wanataka kuona Mwanamke mwingine atakuwaje.
Ndio maana Wokovu ni Dawa ya Moyo , bila Wokovu moyoni Mwanadamu hawezi kushinda vishawishi vya shetani bila YESU π kuishi moyoni mwake , maana yupo Roho Mtakatifu msaidizi wetu sote , ndiye atusaidie kulijua Neno la MUNGU π vema , na kuishi katika Neno la MUNGU
π΄NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE π
NA MALAZI YAWE SAFI π
NA MALAZI YAWE SAFI π
βοΈ Aibu hizi hawa Wanaume hapana jamani...
mimi naamini katika mahusiano mpaka mmeamua kuwa pamoja basi mmependana kama sio kutamaniana na mkataka kuwa pamoja.
mimi naamini katika mahusiano mpaka mmeamua kuwa pamoja basi mmependana kama sio kutamaniana na mkataka kuwa pamoja.
βοΈNa mnapoamua kuwa pamoja ni pamoja na kubebeana misalaba, kuwa pamoja katika shida na raha ambazo baadae huenda kwenye ndoa .
βοΈJapo baada ya ndoa mara nyingi sasa watu ndio wanaanza kutoa makucha yao ya asili yani mtu mpaka unachanganyikiwa hivi huyu mimi nilimtoa wapi mbona mwanzo hakuwa hivi
βοΈJana kuna rafiki yangu nilikuwa naye sehemu hapa Jijini London , akaja kikazi huku Uingereza π¬π§ akawa ananihadithia changamoto za kuhusu yeye na Mumewe yuko Tanzania πΉπΏ akiomba ushauri afanyaje maana amechoka kudharilishwa .
βοΈKwanza kabisa Mumewe hana adabu..mimi ndio nilichomwambia hicho baada ya hizi habari zake za Ndoa π π yao .
βοΈHuyu Dada kwanza alianza kushangaa kila msichana wa kazi akiletwa nyumbani kwake huwa hakai muda anaondoka, mpaka akaanza kujiuliza kwani mimi ninamatatizo gani au sijui kukaa na wasichana wa kazi mbona kila ninayempata anakaa wiki mbili tu nakuondoka
βοΈ Kumbe bwana Mumewe alikuwa anajisex Dada wa kazi, Mkewe akiwa kazini huyu Baba kwakuwa yupo serikalini basi anatoka kazini akiaga anaenda lunch kumbe anarudi nyumbani kula Dada wa kaziππππ
βοΈKwa hiyo Wadada wote waliopita hapo na kuondoka waliondoka tu bila kumwambia Mama mwenye nyumba kwanini wanaondoka akawa bado anajiuliza ila anasema hakuona mabadiliko maana kama kitandani Mumewe anajiweza anampa Mkewe mbili tatu kwahiyo hajakaa kuwaza vyengine .
βοΈBasi bwana yule Mama akawa anawaza labda hawa wasichana ninaowapata mimi ni wadogo wanashindwa kazi za nyumbani pamoja na kulea watoto ngoja nitafute Dada mtu mzima ambaye tumelingana umri
βοΈKweli akatafuta Mdada akampata Mdada wa Tanga ambaye alikuwa amelingana naye umri huyu Mama yeye aliachika kwenye ndoa yake Tanga akawa anatafuta kazi ndio kuamua kuja kwa huyu Dada
βοΈBasi kama kawaida ya Baba tena mambo yakawa vilevile unaachwa wiki moja uzoee mazingira wiki ya pili unaingia shift...mmmhh yule Dada akashindwa kuvumilia na yeye akaamua kumwambia yule mama ukweli
βοΈYule Mke tena kupanic ndio kwenda kumchamba Mumewe , Mumewe akakataa katukatu na kumsingizia Dada labda yeye ndio alikuwa anamtaka, basi yule Mama akamuamini Mumewe na kuanza kumchamba Dada na kumfukuza kazi, Dada wa watu akaondoka na kurudi kwao Tanga
βοΈBasi wakaona kwakuwa wasichana hawakai basi wawapeleke watoto boarding school kweli wakafanya hivyo, wakaendelea kuishi wenyewe tu kwa amani na upendo
βοΈBasi bwana maisha yakasonga, chakushangaza Mkewe akagundua kwamba Mumewe ameanza kuwatongoza mpaka marafiki zake , ila Mimi simoπmaana niko Ughaibuni huku , salama π kabisa .
βοΈHuyu Dada na Mumewe wote wapo Facebook yule Baba anaingia kwenye account ya Mkewe anaanza kuwatongoza marafiki wa Mkewe, mpaka siku hiyo akamtongoza mmoja na huyo kumwambia Mkewe na kumtumia msg zote bwana alizokuwa anamuandikia . Narudia , Mimi simo π japo Facebook nipo ila niko salama π kabisa.
βοΈSasa Mdada kachanganyikiwa anasema huyu kanionyesha je wale ambao hawajanionyesha ameshatongoza wangapi na kulala nao wangapi .
βοΈSasa Mwanamke amechoka kudharaulika jamani afanyaje, na ni mwenzetu humu ndani kwahiyo kila mtakachokuwa mnamshauri atasoma, na kujifunza.
#NZINGATIO
Ndoa na IHESHIMIWE NA WATU WOTE π NA MALAZI YAWE SAFI π MAANA WAASHERATI NA WAZINZI MUNGU ATAWAHUKUMIA adhabu (Waebrania 13: 4)
Ndoa na IHESHIMIWE NA WATU WOTE π NA MALAZI YAWE SAFI π MAANA WAASHERATI NA WAZINZI MUNGU ATAWAHUKUMIA adhabu (Waebrania 13: 4)
source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/01/sababu-sita-za-wanaume-kuchepuka.html
No comments:
Post a Comment