Wednesday, January 29, 2020

SIRI YA MAPENZI kwa vipindi tofauti...!


MIAKA YA:
1986-1990. Ukimtongoza Binti, alikuwa akijibu
"NIMEKUBALI ila usimwambie mtu...!"
MIAKA YA:
1991-1995. Walikuwa wakijibu
"NIMEKUBALI lakini namwogopa Baba na Mama watajua..!"
MIAKA YA:
1996-2000. Walikuwa wakijibu
"NIMEKUBALI lakini sitaki kufanya Mapenzi mpaka unioe..!"
MIAKA YA:
2001-2005. Walikua wakijibu
"NIMEKUBALI lakini tutumie Condom..!"
MIAKA YA:
2006-2010. Walikua wakijibu
"PESA yako 2, Maneno sitaki..!"
Balaa liko Hapa...!
MWAKA:
2011-2018, Wanajibu
"NIMEKUBALI lakini haupo peke yako..!"
Je, Kipi kipindi kizuri kati ya Hivi?


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/01/siri-ya-mapenzi-kwa-vipindi-tofauti.html

No comments:

Post a Comment