Thursday, January 30, 2020

SEHEMU ZA KUMPAGAWISHA MWANAUME WAKO MUWAPO KITANDANI


kwa hakika wanaume nao huwa na maeneo ya kuwasisimua na kuwapandisha kasi zaidi huku akipata raha ya ajabu.... leo nitayataja maeneo ambayo mwanaume akiguswa kimahaba huwa yanamsisimua sana na kumfanya ahisi kuchanganyikiwa kimahaba
1. MASIKIOπŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•
hii ni seheme ambayo hubeba hisia nyingi sana
za mwanadamu;
hapa Mwanamke unatakiwa ufanye kama kukunong'oneza kimahaba kisha utumie ulimi wako kukugusa masikio ndani,nje na kwa nyuma pia hii inaweza kumfanya Mwanaume awe na msisimko mkubwa.
2. SHINGONIπŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•
Sehemu hii ina hisia sana kwa kila kiumbe
kwa sababu mishipa mingi ya fahamu hukutania hapo
mguso wako wa pole pole kwa kutumia ulimi wako na pumzi ya kimahaba vinaweza mfanya Mwanaume achanganyikiwe zaidi juu yako
na kumfanya asahau mengine maana msisimko utampanda kwa haraka zaidi KAZI KWAKO kujua jinsi ya kumwekea na yeye "love bite" pia Mwanamke unatakiwa uwe fundi wa kutumia ulimi wako na lips hapo kwenye shingo ya Mwanaume
3. NGOZIπŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•
Namaanisha kushikana/kupapasana kabla ya kufanya lolote ni jambo zuri sana kwani utaufanya miili yenu isisimke kwa pamoja na kumfanya mwanaume mzunguko wake wa damu kuongezeka na kuwa wenye kasi hii itamsaidia uume kuwa wenye nguvu na kusimama kwa muda(kumuongezea pumzi ya kutomwaga haraka na hata akimwaga iimpe nguvu ya uume kutokulala baada ya kumwaga) na pia itampandisha hisia zake sana TUMIA HATA ZAIDI YA DAKIKA ISHIRINI KUSHIKANA/KUPAPAANA NA MUME WAKO KABLA YA TENDO
4. BUSU LA DENDAπŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•
hii sio kitu cha kushangaza jinsi gani denda(deep kiss) linavyo sisimua na kuamsha hisia na kuongea hashki ya kufanya tendo la ndoa ila Mwanamke inatakiwa ujue jinsi ya kumpagawisha Mume wako na Denda kwa kumyonya na kubite lips zake kimahaba tafadhali pia kwa kucheza na na ulimi wake kimahaba na sio kubadilishana mimate tuuπŸ˜„ mpe raha kuwa fundi kwenye denda asikumbuke kutoka nje kila mara akuwaze wewe tuu.
5. SEHEMU ZA JUU ZA UUMEπŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•
hii ndio sehemu yenye kumchanganya zaidi Mwanaume kimahaba na ndiko sehemu hisia zake za kimahaba zimekaa . hapa Mwanamke haitaji ujuzi mwingi bali ni kujua ni wakati gani ni mguse eneo hilo na nimguse vipiπŸ’‹πŸ’‹πŸ‘‰πŸ’ͺ
mfano; MUME simama kwenye ukuta utamgusa kwa kumpapasa juu ya alichokivaa kwa kupandisha mkono na kuushusha huku ukimguga uume wake fanya hivyo mara 8 mpaka 10 kabla ya kuingiza mkono ndani na kuitoa nje ili kuishika vizuri kimahaba na labda kuanza kuinyonya kiufundi na kimahaba zaidi
vivyo hivyo hata mkiwa kitandani usikurupuke kumshika UUME wake unatakiwa umlegeze na umchanganye kimahaba kwanza
na kwa kufanya ivyo itakusaidia kutunza uhusiano wako na MUME wako
6. G SPORTπŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ‘‡πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•
G Sport ni mstari wa kiufundi sana katika mapenzi ni sehemu ambazo mwanaume yeyote ukizikamata lazima atulie na asisimke kwa hali ya juu. mstari huu si kwa mwanaume tu bali hata wanawake pia husisimka,
Leo naomba niwaambie huu mstari unatokea wapi. ukigusa mgongoni ukakutana na pingiri za mgongo ukizifuata hizi mpaka chini ukashuka nazo mpaka mbele katika uume utaona katika kende za wanaume kuna mstari. Ule sasa ndo unaitwa G sport , Mwanamke ukichukua kidole chako na kupapasa papasa huo mstari kwa kupanda na kushuka hapo unaweza kukamata hisia za Mwanaume na akashindwa kufanya lolote.
hizo ndizo sehemu ambazo Mume wako ukimkamata na maombi mstari wa mbele πŸ™πŸƒhachepuki ng'oooo . Imani yako ndio itaponya ndoa , huna Imani na MUNGU πŸ˜˜ πŸ™ haya MAFUNZO ni ubatili na kujilisha upepo , wengi wanajihendea kichwa kichwa , tambua bila YESU ndiye nguzo Imeandikwa ,"πŸ’•πŸ’•πŸ’•
"Na kila *mfanyalo,* kwa neno au kwa *tendo,* fanyeni kwa jina la Yesu".
Wakolosai 3:17a.
πŸ˜‚πŸƒ Acheni Papara, ombeeni kwanza hilo tendo, ili Bwana Yesu Kristo awe refarii wenu na shahidi mwaminifu.
πŸ˜‚ Mkimaliza pia mshukuruni kwa kuwaongoza vema na kufunga magoli mazuri na mengi.
πŸ‘Sema Ameni kama umeombea hiyo kazi.πŸ˜„πŸ’•
πŸƒπŸƒπŸƒ
Ila usimbanie sana Mume wako ujuzi wako na pia usipende kufanyia mapenzi gizani jiamini we ni mkali kwa Mume wako na maumbile yako aliyo kuumbia Mungu
jitoe kwa Mume wako
πŸ”΄NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE πŸ™
NA MALAZI YAWE SAFI πŸ™


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/01/sehemu-za-kumpagawisha-mwanaume-wako.html

No comments:

Post a Comment