UNAPIGA PICHA ZINAZOONESHA MAUNGO HALAFU UNAPOST MTANDAONI HUKU UNATARAJIA KUPATA THE RIGHT MAN. A MAN WITH A RIGHT MIND HAWEZI KUVUTIWA NA VITU CHEAP. ENDELEA KUANIKA MAPAJA UTAPATA WANUNUZI, NA BAADA YA MUDA UTAKUJA KUTAFUTA USHAURI.
UTUMBO NDIO UNANING’INIZWA UNANG’ONG’WA NA NZI MPAKA UISHE. ILA MAINI YANAHIFADHIWA VIZURI KWENYE JOKOFU/FRIDGE ILI YASIHARIBIKE NA HATA BEI YAKE NI YA JUU.
UKIJIHESHIMU THAMANI YAKO INAONGEZEKA UKIJIWEKA HOVYO UTADHARAULIKA. NA USILAUMU WANAOKUFUATA INBOX KUKUTONGOZA WAKATI UMEKAA KIMALAYA.
WENYE AKILI WATAELEWA.
WENYE AKILI WATAELEWA.
-Baba
source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/01/kama-unataka-kuolewa-na-mtu-sahihi.html
No comments:
Post a Comment