Jinsi unavyozidi kumpenda
Mwanamke na kumuonyesha upendo wa dhati , kumpa Mipango yako ya maisha, unavyomuachia Simu Yako smartphone, unamjulisha kipato chako Cha kila Siku na kila Mwezi, unapotoa habari za ofisini Kwako, unapomueleza Safari zako,, unapoonyesha udhaifu wako kwake unapompa Ela za matumizi Kwa wingi... ndivyo unavyozidi kujiweka mbali naye...

Mwanamke hupenda migogoro isiyo na maana, Mwanamke hapendi utulivu kamwe!,
Na usipomwendesha lazima akuendeshe yeye....ππΎββππΎββππΎββππΎββππΎββakili za kuambiwa changanya na zako...
Na usipomwendesha lazima akuendeshe yeye....ππΎββππΎββππΎββππΎββππΎββakili za kuambiwa changanya na zako...
*Pamoja na penzi kubwa ulilonalo kwake lakini nikwambie ukweli tu kwamba kuna watu ambao kamwe hutoweza kuwabadilisha tabia eti kwa sababu tu unampenda.
Kwa kadri unavyoendelea kujitahidi kumbadili utajikuta wewe ndio unabadilika kuwa vile anavyotaka uwe.
Kuna nyakati itakulazimu kumwachia hiyo kazi yule aliyemuumba ili ambadilishe maana utaumia kwa kujaribu bila mafanikio*
*KWENYE MAHUSIANO*
*KWENYE MAHUSIANO*
*Kila mtu anajaribu kutafuta mtu sahihi, lakini Hakuna mtu anaye jaribu kuwa mtu sahihi*
*Ili umpate mtu aliye sahihi jaribu wewe kuwa mtu sahihi*
In short binadamu wote Hakuna aliyemkamilifu....
Mpende mwenza wako hata kama anayomapungufu,kazi kubwa na ya heshima utakayomfanyia mwenzako ni kumbadilisha awe mzuri na sio kumkimbia....
......
......
Ukitaka kujua hali ya mahusiano yako kama unapendwa au unalazimisha kupendwa angalia maneno na matendo ya huyo mpenzi wakoππΎββππΎββππΎββππΎββ
Utakuja kunishukuru.
Jiulize je anachokisema ndicho anachokitenda?
Jiulize je anachokisema ndicho anachokitenda?
Kumbuka anayekupenda kwa dhati kamwe hawezi kukumbushwa wajibu wake wa kukujali na kukutimizia mahitaji yako ya kihisia,kimwili na kiroho hata swala la ndoa hutomkumbusha kummbusha utaona tu yeye mwenyewe anajiongeza kutafuta wazee na kuweka mambo sawaππΎββππΎββππΎββππΎββ
Shtuka sasa kimbia usikae kizembe utaachwa solemba....
source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/01/usiyoyajua-kuhusu-mwanamke-jifunze.html
No comments:
Post a Comment