Wednesday, January 29, 2020

Kwenye ndoa ukipata Mke katulia Mume mcharuko, Mume katulia Mke mcharuko....

Yaani sijui kwanini kwenye ndoa ukipata Mke katulia Mume mcharuko, Mume katulia Mke mcharuko....
Jamani kwakweli nasikitika sana, kuna Kaka mmoja ameao Mkewe ni mzuri sana yani anaumbo na sura kama mnyaruanda..ni mzuri sana..........Ila ni #MAJANGA
✍️Huyu Mumewe na yeye sio mbaya anakazi yake nzuri sana ambayo imemfanya ajenge nyumba nzuri sana ma kuwa na magari mazuri sana hata Mkewe anatembelea harrier yani wanamaisha mazuri sana ambayo kila Mwanamke anataka apewe akiolewa.
✍️Lakini Mwanaume huyu hafurahii kabisa maisha yake ya Ndoa analalamika Mkewe ni malaya sana yani sijui kwanini Mwanamke hatulii na Mumewe na isitoshe mpaka anamuonyeshea Mumewe.
✍️Halafu Wanaume wenyewe anaokuwa nao Mkewe yani ni wa kawaida watoto wadogo yani Mwanamke yeye ndio anachukua hela anazopewa na Mumewe na kwenda kuwahonga hao mahawara zake .
✍️Mbaya zaidi Mumewe anachosikitika hata usiku wa manane anapigiwa simu na hao mahawara na anaongea nao kimapenzi Mumewe akiwa amelala pembeni yake bila hata kuogopa wala kumuheshimu Mumewe .
✍️Na isitoshe akipigiwa simu hatakama yupo juu ya kiuno cha Mumewe anapokea na kama anaitwa anashuka ananawa na kuondoka anamuacha Mumewe kitandani awe amefika kileleni hajafika hiyo sio shida yake anamuwahi hawara .
✍️Mumewe anasema anaumia sana lakini anamvumilia sana Mkewe kwakuwa anajua anampenda labda ipo siku atabadilika lakini anaona kila siku maumivu yanazidi vituko vipya kila mara .
✍️Kuna kipindi wakati anataka apewe mzunguko usiku ile anamuandaa Mkewe ili amuingilie akaona ukeni kwa Mkewe shahawa zinatoka, yani Mkewe alitoka kupewa mechi ya nje nadhani hajui kunawa vizuri akaja na kumpa Mumewe matokeo yake akadharilika shahawa badi zinatoka ukeni .
✍️Mumewe akamwambia tu Mkewe akanawe na wakalala...
✍️Mumewe anaumia zaidi pale Mkewe anapoamua kutoka na Wanaume wanaomfahamu Mumewe anasema yani kuna "Mkaka alikuwa ananilia Mke wangu na tunafahamiana sana ilibidi nimfwate jamaa na kumuomba tafadhali naomba uniachie Mke wangu ."
✍️Yani inasikitisha sana ukisikia hii hali ya hii Ndoa najua wapo wengi Wanaume Wana nyanyasika namna hii , lakini naamini siku huyu Baba akichoka huyu Mwanamke atajuta...
✍️Watu wanatafuta WACHUMBA wanakosa, huyo kampata Mume anamjali anamchezea mhh Jamani, hata kama hamridhishi si wayajadili tu, na amwambie anataka afanyiwe vipi na Mumewe, jaman Wanawake sisi ndio nguzo ya Familia Jamani, huwezi kuwa hivo alafu wajiita Mke wa mtu mhhπŸ‘ˆ
Mungu msaidie hyo Mwanamke abadilike na agundue ye ni nani kwa Mumewe, na Mume pia asimchoke, maana Mwanaume akichoka ehhhh, utataman ardhi ikufunike mbona πŸ™„
Huu ni udharirishajiSasa huyo Mwanaume inaelekea zoba, maana hakuna Mwanaume rijali, aliyekamilika na anayejua maana ya maisha akaendelea kubaki na huyo Mwanamke, akimletea au ukute keshamletea ukimwi. Dawa amtenge amrudhishe kwao wakitaka kurudiana wapime. Kupenda mpende Mama mzazi alikuweka tumboni miezi 9 sio huyo unampenda anakugeuza teja wa mapenzi.
" Ningekuwa mie ningemfukuza maana inaonekana kunguru hafugiki huyo. Tupa kule tafuta aliyetulia, we si unaona Dada Naomi hapo anasema wengine wanatafuta Waume wa kuolewa nao wakati yeye anachezea ndoa. Mshenzi na ukute hadi anafirwa huko nje maana wenye tabia hizi huwa malimbuken na kuiga mambo hovyo." Alisema mmoja wa #Wadau


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/01/kwenye-ndoa-ukipata-mke-katulia-mume.html

No comments:

Post a Comment