Dear girlz
Kila mwanamume anaweza kukupenda ila si kila mwanaume anaweza kutimizaa ahadi na kulifikia lengo la mahusiano yako!! Kila mwanamke anatamani kuolewa!! Maana ndio lengo la mahusiano!!! Bahati mbaya sana wakati mwanamke akianzisha mahusiano akilini mwake akiwaza kuolewa huku akijaribu kufanya kila jitihada kuhakikisha anakuwa vile ambavyo itampendeza mwenzie kinyume chake wanaume wengi huwa na mtu ambaye anakuwa tayar ashampa priority na Ana fight yeye kumfanya huyo mtu awe mke sahihi kwake.. Jua tu ni asilimia ndogo sana mwanamke anaweza kubadilisha maamuz ya mwanaume na akawa vile unavyotak ww.. (always zingatia hili mwanaume hupenda yeye pale anapoamua kupenda yeye na kuzishinda tamaa na kuwa na hisia za kweli na ww huku mwanamke akitegemea treatment na matendo mazur ili kufikiwa kihisia) jaribu kuwa mtambuzi wa kutambua malengo ya mahusiano yako.. Mahusiano yasiyo na malengo yaani ndoa ni sawa na kukinga maji kwa chekeche what do you expect!!!!!!!!!
Sometimes kama unataka kumchumbia msichana flani au kuchumbiwa na kaka fulani angalia kwanza standards zako na zake kama zinaendana. Maranyingine unalalamika kuwa unakataliwa au unaachwa sana kumbe sababu ni utofauti mkubwa wa viwango vyenu. We unajiona tabia yako sio njema, uaminifu wako ziro halafu unataka kudate na mtu mwenye viwango vya juu vya uaminifu na tabia. Unajiona kabisa kucheat umeanza tangia Nursery halafu unataka kuoana na mtu ambaye hajawahi kuwa na mtu kabisa. Hivi iweje nyoka atafute urafiki na mjusi? Wataishije sasa. Jikague kwanza na ukiona umepungua mwambie MNAZARETI akufinyange
Kanuni mojawapo ya kukutofautisha katika kile unachofanya inaitwa "The Principle of Extra".Kanuni hii inasema kuwa unapofanya kile KINACHOTARAJIWA unapata kile ambacho UNASTAHILI ila unapofanya ZAIDI ya kinachotarajiwa unapata zaidi ya unachostahili.
Watu wengi sana wanafanya kwa viwango vya KAWAIDA ila wanataka kupata matokeo YASIYO YA KAWAIDA:Hiyo haiwezekani!Kama kila unachofanya watu wanakiona cha kawaida ni dalili kuwa kanuni hii hauitumii kwenye maisha yako.
Njia nzuri ya kuhakikisha kuwa unapata zaidi ya ulichopata wakati wa nyuma ni kufanya zaidi ya ulivyofanya na zaidi ya inavyotarajiwa.Yaani maana yake ni "Washangaze".Fanya jukumu lako hadi mtu aseme "sikutegemea kama ungefanya vizuri hivi".
Chris JR
source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/01/wadada-nisikilizeni-vizuri-dada-yenu.html
No comments:
Post a Comment