Monday, January 27, 2020

FAHAMU MAANA YA RANGI ZA SHANGA KIUNONI KATIKA MAPENZI


images%25282%2529
Baadhi ya Wanawake wanazivaa shanga kwa kutumia rangi ambazo zitaleta maana au ujumbe ambao anataka umfikie yule aliyemvalia Mume, Mpenzi, Kimada nk. Mara nyingi huwa inaleta maana au ujumbe utafika kama Mwanaume husika atakuwa anaelewa Maana ya hizo Rangi za Shanga.Zifuatazo ni Rangi za Shanga na maana yake:-NYEKUNDU, Kama ukikuta Mwanamke amevaa Shanga za Rangi nyekundu,basi ujue yupo kwenye siku zake(hedhi/menstruation cycle).NYEUPE, Kama ukikuta Mwanamke amevaa Shanga za Rangi Nyeupe,basi ujue kuwa kwa muda huo, Hana Tatizo lolote litakalomzuia kukupa wewe Raha na Utamu, kwa hiyo upo free kufanya chochote na Mwili wake.NYEUSI, Kama Ukikuta Mwanamke amevaa Shanga za Rangi nyeusi, basi ujue kuwa yupo teyari kukupa Raha na Utamu lakini tatizo bado hajanyoa nywele zake za sehemu za siri, kwa hiyo unaweza kumnyoa kama kweli upo romantic  au ukaiacha siku hiyo ipite ili akanyoe baadaye au kama hamu zimekuzidia sana unaweza ukaendelea kama kawaida.N.B – Kama umezivaa ukaenda kazini,au kwenye biashara zako au ukatoka tu out,make sure unavaa nguo ambazo zitaficha shanga zako hata kama ukiinama mbele za watu,inaboa kuona shanga barabarani, kwenye daladala, maofisini n.k.


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/01/fahamu-maana-ya-rangi-za-shanga-kiunoni.html

No comments:

Post a Comment