Je utazaa na nani kama si umejiandaa kuwa mchepuko wa ndoa ya mwanamke mwenzako aliyekubali kuolewa? ππ
Hautaki kuolewa basi acha ndoa za wanawake wenzako waliojitolea kuingia kwenye ndoa ziwe salama. ππ.
Wanawake wenzako wanaumizwa ndoani, ndoa zinayumba kisa wewe mwanamke usiyefikiria kwa mapana kuhusu uamuzi wako wa kutokuolewa, et sina imani na wanaume ππ, kwani huyo mume wa mtu unayetaka uzae naye ametoka dunia nyingine? ππ.
Ngoja niishie hapa kwa leo ila najua wanawake wenye nia ya kutunza ndoa zao wamenielewa! ππ.
source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/01/si-ajabu-bado-unataka-kuzaa-huku.html
No comments:
Post a Comment