Thursday, January 30, 2020

Wewe mwanaumeeeeee amka ulikolala. 😏😏.


Mkeo hakuombi pesa mara kwa mara nawe unajisifu mbele ya wanaume wenzako kuwa et una bahati kwani una mke asiyependa pesa 😀😀 mjinga kweli wewe.
Inawezekana hapendi kukuombaomba muda wote anasubiri ujiongeze, usijisahau 🤔🤔
Hakuna mwanamke asiyependa matunzo stahiki 😋😋.
Sijazungumzia wachumba hapa naongelea ndoa.
Hajakuoa ukianza kutaka utunzwe usisahau "Ukijua kula uwe tayari kuliwa" 🙄🙄.


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/01/wewe-mwanaumeeeeee-amka-ulikolala.html

No comments:

Post a Comment