Tuesday, January 28, 2020

Sababu Kuu zinazofanya wanawake walio kwenye ndoa wachepuke

galia wekness zako !!jitathimini unapofeli!!!unajua siku zote wanawake wanacheat kutafuta kipande kilichokosekana ndani ya ndoa tena muda mwingine ni baada ya kuvumilia sanaa!!!nikupe mtihani mdogo tu uliye ndani ya ndoa..afu jibu utajijibu mwenyewe moyoni mwako..hivi zile show za mwendokasi kabla hujamuoa bado zipo!!!zile romance za hadi nusu saa bado zipo!!yale maandalizi ya kasi ya 4G bado zipo!zamani kabla hujamuao akija kwako kukaa hata siku tatu show inakuwa too much leo vip au ndio unavusha mwenzi hujamgusa au mpka aombe kwa magoti?nadhan jibu unalo!!tuwe wakweli wanawake wengi ndani ya ndoa wanabakwa hawaandaliwi!!wengine wnasex kuzaa sio ku enjoy tena!!!nikupe siri dear men usimchukie kibonde kwa huu ujumbe ukiona mkeo anaanza kuomba game kwako kama anaomba chakula muda mwingine unaanza kujibalaguza ..ooh sijui naumwa..aah nimechoka bana ..jua tu unamtengeneza kuwa msaliti mkubwa..atakusaliti huku anacheka na ww sebuleni lakini akili yake iko kwa john aliyemshikilia bango vizuri..!!!jifunze kuwa mkeo anahitaji kufikishwa vilele vya kibo na mawenzi kila baada tendo!!acha hizo twa twa twa zako kama unatwanga kisamvu!!unamuacha mtoto wa watu kakunja sura kama yuko kwenye kikao cha bodi ya korosho!!..nakushauri tu na nakukumbusha tu mkeo akicheat tulizana brother!!!usituumize masikio na ngonjera zako anza kujitathimini kwanza ww...unamfkkisha !!!bado unasimamia show kama zamani..una mcare kama zamani..una msikiliza kama zamani..unamjari..!!!afu ndio uje uombe ushauri...sio show dakika 2 , humjari..humsikilizi, kila siku unamtukana, uko busy na mchepuko yeye huna hbari naye ..sasa weww show 0%...tabia 0%..!!!akikucheat unaanza kuhangaika
Badilika


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/01/sababu-kuu-zinazofanya-wanawake-walio.html

No comments:

Post a Comment