Monday, January 27, 2020

USHAURI KWA MABINTI MLIO SINGLE.


Leo naomba niomba niongee na madada ambao hamjaolewa na hampo kwenye mahusiano.
Wewe binti nisikilize kwa umakini sana, yapo mambo ya msingi ya kuyajua kabla hujaingia kwenye ndoa au mahusiano na nyinyu mliopo kwenye mahusiano.
Ndoa/mahusiano sio smart phone kwamba leo ukiichoka utaamua kuibadilisha na kwenda kutafuta nyinge.
Unapoamua kuingia kwenye ndoa au mahusiano jua umejiingiza katika maisha mengine tofauti ambayo yanahitaji utumie akili zaidi.
Ndoa au mahusiano sio kukutana na mwanaume tu mkapelekana kitandani mkaanza kupeana denda, mkatomasana kuchezeana matiti vinembe visimi mpaka mkaingiliana na kukojozana.
Maisha ya ndoa yana mambo mengi sana na kwa upana mkubwa.
Usiharakishe kutoka nyumbani kwa wazazi kwa gia ya kwenda kuolewa.
Usisuburi mpaka mwanaume aje ndio uanze kuishi, unaweza kuishi maisha timilifu hata ukiwa huna mwanaume.
Usijiingize kwenye anasa kama kubadili wanaume hovyo, kujiingiza kwenye ulevi, utapotea na kuangamia kama walivyoangamia wengine.
Usiwe mwepesi wa kuendekeza kuzipokea namba ngeni na kuzijibu, namba ngeni hasa usiku.
Hiyo sio njia sahihi ya kupata mpenzi, achana na viofa visivyokua na kichwa kisa tamaa ya kutolewa out, sisi wanaume tulio wengi ni waongo sana na tuna mbinu nyingi za kuwateka ili kuwachezea.
Acha wanaume wenye kujitambua wavutiwe na wewe kwa namna ulivyo jilinda na kujitunza.
Akili kichwani kwako.


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/01/ushauri-kwa-mabinti-mlio-single.html

No comments:

Post a Comment