Kuachwa kusikupe Stress, Haijalishi umeachwa mara ngapi, Jali kile ulichojifunza kutoka kwa mtu aliyekuacha.. Kila anayeingia maishani mwako ana Syllabus mkononi mwake, Every topic anayokufundisha ichukulie serious huwezi jua mtihani wako utatungwa kwenye Topic ipi..
Usipojifunza lolote kutoka kwenye Relationships ulizopitia utaendelea kufeli daima. Usijali kuhusu listi ya Wanaume au Wanawake wangapi wametia Signature kwenye moyo wako, ila nini umejifunza kwao.
The List doesnt matter(idadi haijalishi ni kiasi gani)....Usione Waumini 100 wamesimama kwenda kutoa Sadaka Mchungaji ukachekelea bingo,wanaweza kuweka jero jero tu,ila wanaweza kusimama Waumini 10 tu matajiri wakatoa Laki-Laki na kapu likajaa...
Numbers doesnt count when it comes to Love(Namba haina tija linapokuja suala la mapenzi), kuwa na listi yoyote ukiwa na sababu mahususi lakini ikufunze!Ukiogopa kuumia kwenye Mapenzi hutajifunza kitu chochote kipya na unachopaswa kufanya baada ya kutoka kwenye mahusiano ya maumivu......
πΉπΉπΉπΉπΉπΉπΉπΉπΉ
source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/01/fuata-ushauri-huu-kamwe-mapenzi.html
No comments:
Post a Comment