*MUME HANUNIWI*
πππππππππππ
*Kwanza unaazaje kumnunia mumeo*
*Mume akikukera, kuwa na subra mwali wangu japo inauma weee potezea maisha yaendelee*
πππππππππππ
*Tulia mwari wangu umjibu mumeo kwa Vitendo*
*Mume akirudi mpokee vizuri kwa bashasha kama hajakukera vile. Mfanyie mambo yote mazuri anayopaswa kufanyiwa mume*
πππππππππππ
*Hasira zako kammalizie kitandaniiiii*
*Mwanamke mwema humaliza hasira zake kwa kumpa mapenzi motomoto mumewe kitandani*
πππππππππππ
*Bibi weeeee maliza hasira Kwa kumkatia viuno vizuri huku wamchombeza na kilio cha mahaba*

*Bibi weeeee ukiwa mtu wa kununa nuna jua mume atakuchoka haraka*
*Ukiwa mtu wa kusamehe haraka basi mume atazidi kukupenda Sana kwa kuwa atakuona mkewe una Subra*
πππππππππππ
*Wengine mnanuna mpaka kitandani, mnalala mzungu wa nne*
*Bibi weeeee nuna lakini kitumbua utowe. Mume hanuniwi mpaka kitandani*
*Ukimnunia mume mpaka kitandani basi jiandae kusaidiwa malezi na wajanja wa mjini. Jua mume atakuvumilia yote lakini sio kumnyima kitumbua upoo! bi dada!!**

πΉILINDE NDOA YAKO πΉ
πππππππππππ
πππππππππππ
source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/wewe-mwanamke-mume-hanuniwi.html
No comments:
Post a Comment