Monday, February 24, 2020

KWA DUNIA 🌎 YA SASA THAMANI YA MWANAMKE INACHANGIZWA NA VILE ALIVYO NAVYOπŸ’―


Dunia inakimbilia kwenye UANGAMIVU hasa kwenye swala linaloitwa UPENDO πŸ’˜
Watu wengi wanatazamana kwa UWEZO WALIO NAO kwamba bila kuwa na kitu ambacho kitaleta faida kwake basi anakosa sababu ya kuwa nawe πŸ€”
Mahusiano na NDOA nyingi ili zidumu ni pamoja na KUTENGENEZA ULINGANIFU WA KILA KITU vinginevyo mmoja anapokuwa yupo LEVEL fulani na mwingine yupo chini yake KAMWE HAWATAFIKIA UPENDO πŸ’˜ WA DHATI πŸ’• kwa sababu kutakuwa na hali ya KUBAGUANA KWA MUONEKANO πŸ˜‚πŸ˜‚
Mwanamke ndiye mwenye kuhitajika kuwa na kitu kuliko Mwanaume japo inatakiwa Mwanaume ajue kucheza na HISIA ZA MWANAMKE πŸ’― Maana Wanawake wa sasa wamepofushwa na MUONEKANO WA MWANAUME hata kuamini katika UTANASHATI πŸ•Ί
Kwamba ili Mwanamke awe na UHUSIANO ama NDOA itakayompa FURAHA NA AMANI lazima awe na MALI KIDOGO ili Mumewe apate pa kuanzia, Maana Wanaume wa sasa wanasema KAZI RAHISI NI KUMFURAHISHA MWANAMKE UTAPATA UTAKACHO.
Mwanamke uwapo na MALI ambazo zimepatikana kwa nguvu zako USIAMINI πŸ’― UPENDO WA MWANAUME Kwani UPENDO WA MWANAUME NI PAMOJA NA KUJITEGEMEA MWENYEWE vinginevyo Mwanaume atakuwa yupo kwenye MTAJI WA MASIKINI NGUVU ZAKE MWENYEWE πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
HAPPY NEW YEAR 2020 πŸŽ‰ πŸŽŠ πŸŽˆ πŸŽ‡
#Elista_Kasema_ila_Sio_Sheria πŸ”¨


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/kwa-dunia-ya-sasa-thamani-ya-mwanamke.html

No comments:

Post a Comment