Monday, February 24, 2020

UZURI WA MWANAMKE NI MUONEKANO WAKE💯


Kama uzuri wa MWANAMKE ungekuwa MAUMBILE YAKE YA NDANI basi wanaume wangeridhika na Mwanamke mmoja kwa sababu moja tu :-
 MWANAUME HAFIKI KILELENI KWA UBORA WA MAUMBILE ILA KWA HISIA ZAKE.
Hapo ndipo maana ya UPENDO WA MWANAUME hutoweka maana yeye hajui kutofautisha UZURI WA MWANAMKE NA UTAMU WA MWANAMKE kwa hakika kwa Mwanaume kila Mwanamke ni MTAMU maana hakuna Mwanaume alishindwa kufika KILELENI kwa Maumbile MABAYA ðŸ˜‚😂😂 maana yeye huendeshwa na HISIA ZAKE wakati Mwanamke ambaye yeye ili aweze kufurahia MAPENZI ni pale NAFSI YAKE INAPOKUWA NA UTULIVU maana yake yeye hufuata MOYO ðŸ’– WAKE ðŸ˜‚ ðŸ˜‚
Ukiona Mwanaume ametulia na Mwanamke mmoja ujue KAMPENDEA MUONEKANO WAKE ðŸ’¯
Mambo ya MAUMBILE ðŸ‘„ pamoja na MAUNO ðŸ’ƒ kama yangemtuliza MWANAUME basi kuna wanawake wangekuwa na hakika ya kutosalitiwa ila kwa sasa OMBA MUNGU umpate Mwanaume atakayevutiwa na JINSI ULIVYO kuliko kama ATAKUPENDA kwa YALIYOKO SIRINI hawakawiii kukinaiiiii hao ðŸ˜‚😂
#Elista_Kasema_ila_Sio_Sheria ðŸ”¨


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/uzuri-wa-mwanamke-ni-muonekano-wake.html

No comments:

Post a Comment