Wednesday, February 26, 2020

Unaweza kumpa kila kitu mwanamke lakini akikosa hichi tu UMEVURUGA YOTE ULIYOMPA !

Sina maana ya masaa bali namaanisha MWANAUME KUTUMIA MUDA WAKE MWINGI KWA MWANAMKE WAKE... Unaweza kumpa kila kitu mwanamke lakini ukikosa muda wa kuwa nae UMEVURUGA YOTE ULIYOMPA maana Swala Sio kutimiza mahitaji tu Kwani UWEPO wako kwake ni zaidi ya njaa pamoja na ukosefu wa mafuta ya kupaka.
Wanaume wengi hata kwenye NDOA zao wamekosa muda wa kukaa na mwenza wake kiasi kwamba wamewajaza masononeko wake zao, Walivyoumbwa wanawake peke yao hawawezi kutimiza furaha zao lakini awapo na mwanaume hujawa furaha ikiwa tu MWANAUME HUYO ATAJUWA NAMNA YA KUZIMILIKI HISIA ZAKE!
Hakuna mwanamke anakimbia DHIKI ikiwa mwanaume wake anampatia KITI wake, Lakini ukitaka kujuwa mwanamke sio mtu basi we jinunulishe mavitu yako halafu Ukiwa faragha ukawe KUKU mbona hayo mavitu yako hayatakuwa na thamani, Ndio maana mnawaita MALAYA mara oooh wanawake walikuwa wa zamani siku hizi hakuna wanawake.
Uliwahi kupata wasaa kuzungumza na mshua wako au wahenga wa zamani vile walikabiliana na bi'mdashi? Weeee usipimeπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Zamani wazee wetu waliweza KUOA wanawake 4 lakini kila mmoja alipata haki yake ya ndoa na wanawake hao walitulia maana mshua alijuwa majukumu yake.
Leo unakuta mwanaume anae mke hamtimiziii na Bado anatafuta mchepuko ukimuuliza mchepuko nae hapati ile kitu roho inapenda ukitazama hilo utagunduwa wanaume wengi wameshindwa kujuwa wajibu wao kwa wanawake.
Mwanamke ANAHITAJI MUDA WAKO maana kwa kumpa muda ni dhahiri itakuwa rahisi kwenu kufanya maandalizi yatakayo chochea KITI WA MWANAMKE KUPANDA lakini kama ndio unakuja na haraka zako za kuaparamia samaki wa zanzibar aina ya jodari MY FRIEND HAPO BWANA HUTAMUELEWA MWANAMKE.


source https://utamuzaidiapp.blogspot.com/2020/02/unaweza-kumpa-kila-kitu-mwanamke-lakini.html

No comments:

Post a Comment